21 Jul 2026 1:11 pm | Citizen TV 933 views Duration: 1:18 Maafisa wa polisi mjini Mombasa wamewakamata washukiwa wawili wa ulanguzi wa dawa za kulevya aina ya cocaine na heroine zenye thamani ya shilingi milioni 117.