Polisi Mumias wamsaka baba aliyewafungia wanawe

  • | Citizen TV
    1,080 views

    Maafisa wa polisi katika eneo bunge la Mumias mashariki kaunti ya Kakamega wanamtafuta mwanamume wa miaka 45 aliyewafunga kwa minyororo wanawe wawili na kuwafungia nyumbani.