Polisi Nairobi wakanusha kuna ongezeko la uhalifu

  • | Citizen TV
    2,243 views

    Polisi wamekanusha madai ya kulegeza kamba na kuwa kuna ongezeko la uhalifu nchini. Kamanda wa polisi jijini Nairobi, James Mugera, anasema madai ya ongezeko la wizi wa kimabavu na mauaji ni dhana tu. Na kama anavyoarifu Emily Chebet, idadi ya visa hivi vinaarifiwa kupungua kwa mujibu wa takwimu za idara ya polisi.