Skip to main content
Skip to main content

Polisi Nakuru wanasa bastola, risasi 29 na lita 900 za ethanol

  • | Citizen TV
    4,565 views
    Duration: 2:26
    Maafisa wa Usalama jijini Nakuru, wamemnasa mshukiwa wa uhalifu akiwa na bastola na risasi 29, nyumbani kwake Olvine, Kiamunyi, eneo bunge la Rongai. Kadhalika walinasa lita 900 za Kemikali ya aina ya ethanol.