- 23,175 viewsDuration: 1:04Polisi nchini Tanzania imesema kuwa imezuia pasipoti ya Joseph Mccan huku wakiendelea kumhoji baada ya mpenzi wake mwanamitindo wa Marekani, Ashly Jenae mwenye umri wa miaka 31 kuripotiwa kufariki dunia. Mwandishi wa BBC @munie_noor na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #zanzibar #tanzania #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw