Polisi Uasin Gishu wanamsaka binti aliyetoweka kwa mda wa wiki tatu

  • | K24 Video
    12 views

    Familia moja katika kaunti ya Uasin Gishu inamtafuta binti yao mwanafunzi wa kidato cha nne aliyetoweka kwa mda wa wiki tatu zilizopita. Veronicah Wanjiku mtahiniwa wa KCSE katika shule ya upili ya umoja alitoweka septemba tano na licha ya mhula wa watu kuanza wiki ijayo hatma yake bado haijulikani.