Polisi waanza msako wa mshukiwa mmoja anaye husika na utengenezaji wa pombe haramu

  • | Citizen TV
    179 views

    Maasfisa wa Polisi eneo la Gichugu Kaunti ya Kirinyaga wameanzisha msako wa mshukiwa mmoja anayedaiwa kuhusika na utengenezaji wa pombe haramu eneo hilo