30 Sep 2025 10:17 am | Citizen TV 302 views Duration: 1:29 Maafisa wa polisi katika mjini Madogo kaunti ya Tana River, wanachunguza kisa kimoja ambapo mwanaume alipatikana amejitia kitanzi ndaini ya nyumba katika kijiji cha Boji viungani mwa mji huo.