Skip to main content
Skip to main content

Polisi waidhinisha mkutano wa Linda Mwananchi Nairobi

  • | KBC Video
    1,171 views
    Duration: 2:42
    Huduma ya taifa ya polisi imeidhinisha kundi la Linda Mwananchi kuandaa mkutano wake jijini Nairobi kesho. Kwenye mkutano na wanahabari leo jioni kamanda wa polisi wa eneo la Nairobi Issa Mohammud hata hivyo alitahadharisha kwamba ripoti za kijasusi zinaashiria kwamba huenda kuka njama ya kuvuruga mkutano huo akionya dhidi ya vitendo vya uhuni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive