Skip to main content
Skip to main content

Polisi wamenasa mafuta yanayoaminika kuibwa Mombasa

  • | Citizen TV
    1,088 views
    Duration: 2:54
    Maafisa wa Polisi Mjini Mombasa wamenasa mafuta ya kupikia yanayoaminika kuibwa kutoka kwa malori ya kusafirisha mafuta na kisha kupakiwa kwenye mitungi ya kampuni tofauti za kuuza mafuta ya kupika nchini na kisha kuuziwa wananchi. Jumla ya malori 13 yamekamatwa katika msako huo. Kamanda wa Polisi pwani Ali Nuno amesema uchunguzi zaidi unaendelea.