Polisi wanatafuta genge la wahalifu Makueni

  • | Citizen TV
    1,546 views

    Maafisa wa usalama eneo la Kaiti kaunti ya Makueni wanatafuta genge la wahalifu wanaoaminika kuendelea uhalifu eneo hilo. Kisa cha hivi punde kikiwa kuuuawa kwa mfanyabiashara mmoja aliyekumbana na mauti yake mikononi mwa majambazi alipowasili tu kwake nyumbani. Wakaazi wakiripoti kuwa wahalifu hawa huvalia magwanda yenye muonekano wa sare za polisi.