Skip to main content
Skip to main content

Polisi watakiwa kuwadhibiti wahuni kwenye mikutano wa viongozi wa Linda Mwananchi

  • | Citizen TV
    1,060 views
    Duration: 1:24
    Idara ya usalama kaunti ya Taita Taveta yatakiwa kuwachukulia hatua wale wote ambao wapanga kuzua fujo kwenye mkutano wa viongozi wa Linda Mwananchi utakaofanyika mwishoni mwa juma hili huko Mwatate, wundanyi na Voi. Akizungumza huko Mwatate mbunge wa Wundanyi, Dan Mwashako, aisuta serikali akidai yapanga njama ya kuvuruga mkutano huo.