- 6,321 viewsDuration: 43s’Jeshi la polisi kufuatia hali hiyo linawatangazia wakaazi wote wa jiji la Dar es Salaam kuwa kuanzia leo tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 kuanzia saa kumi na mbili jioni wawe majumbani mwao,’’ - Camillus Wambura Inspekta Jenerali wa Polisi amesema hayo kufuatia matukio ya ghasia yaliyoshuhudiwa katika maeneo kadhaa mjini Dar Es Salam Tanzania. - - - #tanzania #maandamano #polisi #bbcswahili #foryouSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw