Polisi wathibitisha Kiptum alifariki kwenye ajali

  • | Citizen TV
    4,006 views

    Polisi katika kaunti ya Elgeiyo Marakwet wamethibitisha kuwa mshikilizi wa rekodi ya mbio za marathon Kelvin Kiptum alifariki kufuatia ajali ya barabarani huku masuali yakizidi kuibuliwa kuhusu yaliyojiri jumapili usiku. Aidha wabunge wamesisitiza uchunguzi wa kina ufanywe kuhusiana na watu wanaodaiwa kuzuru nyumbani kwa Kiptum siku chache kabla ya kifo chake