Polisi watumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji

  • | Citizen TV
    2,358 views

    Hali tete inazidi kughubika umiliki wa shamba la esoit kule transmara ya kusini hii ni baada ya wakazi kuandaa maandamano makubwa ya kuwafurusha wamiliki wa shamba hilo kwa madai ya kunyakua kipande hicho cha ardhi chenye ekari 1300. Maafisa wa polisi walilazimika kuingilia kati swala hilo kwa kutumia vitoa machozi kutuliza hali.