Skip to main content
Skip to main content

Polisi wawasaka washukiwa wa mauaji na wizi wa mifugo katika mpaka wa West Pokot na Turkana

  • | NTV Video
    2,123 views
    Duration: 3:03
    Siku tano baada ya washukiwa wa ujambazi wa mifugo kuwaua watu watatu na mifugo kuibwa katika mpaka wa West Pokot na Turkana, Hakuna aliyekamatwa kufikia sasa. polisi wanasema maafisa wao wako katika eneo hilo wakiwasaka majahili hao na kudhibiti hali ya usalama. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya