- 1,420 viewsDuration: 2:45Polisi Mombasa wanatafuta washukiwa watatu wa wizi walionaswa kwenye kamera za CCTV wakivamia wakaazi katika mtaa wa Leisure Nyali kaunti ya Mombasa. Tukio hilo la Jumanne usiku sasa likizua wasiwasi miongoni mwa wakaazi wanaosema visa hivi vimezidi.