President Ruto: Gachagua hakuwa na ujuzi wa kueleza sera za serikali

  • | Citizen TV
    1,975 views

    Kwa mara nyingine tena Rais William Ruto amemfokea aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, akimtaja kuwa kiongozi aliyepungukiwa na ujuzi wa kuzieleza sera za serikali. Rais aliyezungumza alipokuwa anakamilisha ziara yake ya siku sita ukanda wa magharibi, amelitaja swala hilo kama mojawapo ya sababu zilizomshurutisha kumtimua Gachagua Serikalini