Raia wa Russia wataka uchuguzi ufanyike kuhusiana na kifo cha Navalny

  • | VOA Swahili
    148 views
    Raia wa Russia wanaoishi nje ya nchi, wanaendelea kukusanyika katika sehemu mbalimbali duniani, kuomboleza kifo cha Kiongozi mkuu wa upinzani, Alexei Navalny, na wanataka uchunguzi kamili ufanyike. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.