- 1,621 viewsDuration: 2:09Raia wa uholonzi Elwin Ter Horst ambaye video yake ilisambaa katika mitandao ya kijamii akionekana kumdhulumu afisa wa polisi katika kituo cha polisi ataendelea kuzuiliwa katika kituo hicho cha Diani huku akisubiri hatma yake kisheria. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya