Raila aendeleza kampeni zake Kwale

  • | K24 Video
    46 views

    Mgombea urais wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga, ameendeleza kampeni zake katika eneo la Pwani leo akizuru kaunti ya kwale. Raila akiwa ameandamana na viongozi kutoka eneo hilo akiwemo mwaniaji ugavana wa Azimio Profesa Hamadi Boga, ameahidi wenyeji kushugulikia swala la umiliki wa ardhi huku akisisitiza mpango wake kwa walioko katika sekta ya jua kali nchini. Odinga amewapigia debe wawaniaji wa azimio katika kaunti hiyo.