Raila ahimiza vizazi vya sasa kufahamishwa kwa kina hatua za kidemokrasia zilizopigwa nchini

  • | KBC Video
    71 views

    Wakenya wamehimizwa kumakinika katika kutumia fursa za kidemokrasia kwa manufaa yao. Aliyekuwa waziri mkuu, Raila Odinga amesema vizazi vya sasa vinapaswa kufahamishwa kwa kina hatua za kidemokrasia zilizopigwa humu nchini hususan harakati za ukombozi ambazo matunda yake Wakenya wanafurahia kwa sasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #democracy #railaodinga