Raila akemea vikali ubomoaji wa nyumba eneo la Milimani kaunti ya Kakamega

  • | K24 Video
    14 views

    Kinara wa Azimio Raila Odinga amekemea vikali ubomoaji wa nyumba eneo la Milimani kaunti ya Kakamega huku akiishtumu serikali kuu. Raila amesema ubomoaji huo ni kinyume na katiba kwani mahakama iliharamisha ushuru wa nyumba. Raila amesema hayo leo alipozuru eneo hilo pamoja na viongozi wengine wa Azimio ambao wameshinikiza waathiriwa walipwe fidia.