"Raila Odinga alikuwa mtu mwenye maono ya mbele na alitambua kwamba hatimaye kungekuwepo na serikali jumuishi ya broad-based. Alikuwa mweledi katika mazungumzo ya kisiasa; alijua ni lini apigane, ni lini asimame, na ni wakati gani afanye mazungumzo. Ndio maana maisha yake ya kisiasa yamekuwa yenye utajiri mkubwa wa uzoefu na mafanikio, japokuwa hakuwahi kufikia urais." - Fwamba NC Fwamba
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__