Raila amkosoa rais kwa kulaumu kupanda kwa dola

  • | Citizen TV
    2,258 views

    Kinara wa Azimio One Kenya raila Odinga amemtaka rais William Ruto kutolaumu kupanda Kwa thamani ya Dola Kama kikwazo cha kupanda kwa gharama ya Maisha nchini.raila amesema rais anafaa kusikiza Kilio cha wakenya na kutimiza ahadi Zake. Raila amesema ili kuwasaidia wakenya wanaoteseka,atatumia mtindo mpya Mwaka ujao ili kuwasilisha ujumbe wake kwa serikali kwa niaba ya wakenya.