Rais William Ruto amewahimiza wakenya kutoruhusu siasa kuligawanya taifa hili, akisema kuwa uchaguzi ni wa muda tu, lakini umoja wa kitaifa unapaswa kudumu. Akizungumza katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mkutano na viongozi wa mashinani kutoka Kaunti ya Bungoma wakiongozwa na Didmus Barasa, Rais alisema kuwa uchaguzi haupaswi kamwe kuchukuliwa kuwa suala la kufa na kupona, akiwahimiza viongozi kukataa siasa za kikabila na badala yake watilia maanani kuboresha maisha ya wananchi kupitia maendeleo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive