- 3,547 viewsDuration: 1:40Rais William Ruto amewaonya viongozi wanaoingiza ukabila kuhusu nafasi ya shule za kitaifa akisema ni taasisi za wakenya wote. Rais akisema kuwa shule za kitaifa ziko huru kwa wanafunzi wote wa kenya na sio watu wa maeneo kuliko shule hizo. Rais alikuwa akizungumza wakati wa kutolewa kwa pesa za mradi wa hazina ya nyota ambako vijana 9,800 walipokea mtaji wa elfu 25.