- 5,658 viewsDuration: 3:14Amepuuzilia mbali madai ya aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua kuhusu ajenda yake ya maendeleo katika eneo la kaskazini mashariki, rais akisisitiza serikali yake ina mipango ya kuimarisha maeneo yote nchini. Majibu ya rais yanajiri kufuatia matamshi ya Gachagua aliyemlaumu kwa kile alitaja kama hatua zisizotosha za kukabiliana na janga la njaa katika eneo hilo mbali na ahadi ambazo hazijatimizwa