- 5,575 viewsDuration: 2:59Rais William Ruto sasa anasema kuwa gharama ya juu ya mafuta nchini ikilinganishwa na mataifa mengine ya afrika inastahili. Katika kile kinaonekana kama shinikizo la kutaka kuondolewa kwa ushuru wa mafuta, rais ametetea ada ya shilingi 25 ya miundomsingi ya barabara akisema kenya imestawi zaidi kuliko mataifa hayo mengine.