Katika jitihada za kufanikisha utaoji huduma bora ya afya kwa wote, serikali imezindua mpango wa kuwasidia zaidi ya wakenya milioni 2.2 wasiojiweza kujisajili kwa halmashauri ya afya ya jamii ,SHA. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo, rais William Ruto alisisitiza umuhimu wa kukumbatia mfumo wa kidigitali ili kuimarisha uwazi na ufanisi katika utoaji huduma za afya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive