Rais Biden akimlaki mgeni wake Rais Ruto White House

  • | VOA Swahili
    1,209 views
    Rais wa Kenya William Ruto anaendelea na ziara yake ya siku nne Marekani na akiwa Washington anakutana na viongozi wa serikali na watendaji wa makampuni ya biashara. #ruto #biden #kenya #us #whitehouse #reels #voa