Rais Kenyatta azindua rasmi maabara ya kitaifa ya upeleezi wa jinai nchini

  • | K24 Video
    104 views

    Rais Uhuru Kenyatta amezindua rasmi maabara ya kitaifa ya upelelezi wa jinai hapa nchini. Katika hafla ya kipekee iliyoandaliwa katika makao makuu ya upelelezi wa jinai rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa maabara hiyo ya kitaifa ni mwanzo mpya wa uchunguzi wa upesi wa visa vya uhalifu humu nchini.