Rais mstaafu Kenyatta aongoza kikao cha pili kutafuta suluhu ya kudumu D.R.C

  • | K24 Video
    19 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta aliongoza kikao cha pili kilichowaleta pamoja wadau mbali mbali kutoka maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika kutafuta suluhu ya kudumu nchini humo. Kikao hicho kilichofanyika jana, kiliangazia masuala muhimu yaliyozungumziwa katika vikao vya awali Nairobi na Luanda