Skip to main content
Skip to main content

Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atangaza kuwa ataondoka kwenye uongozi wa chama cha Jubilee

  • | NTV Video
    2,752 views
    Duration: 1:47
    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa ataondoka kwenye uongozi wa chama cha Jubilee, siku moja baada ya Mahakama Kuu kushikilia kuwa Rais aliyestaafu hafai kushikilia wadhifa wowote katika chama cha kisiasa miezi sita baada ya kustaafu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya