Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto aagiza usalama kudumishwa makanisani

  • | KBC Video
    544 views
    Duration: 3:50
    Rais William Ruto amewaonya wanasiasa dhidi ya kutumia kanisa kuendeleza ajenda zao za kisiasa. Akizungumza katika Kanisa la PEFA All Nations Gospel Church huko Gikomba, kaunti ya Nairobi, rais alisema kanisa ni mahali takatifu na hapapaswi kutumika kueneza chuki, mgawanyiko na ukabila. Na kama anavyotufahamisha mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim, Rais alitumia fursa hiyo kuagiza mashirika ya usalama kuhakikisha kuna ulinzi wa kutosha makanisani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive