Rais Ruto aanza ziara rasmi kaunti ya Homabay

  • | KBC Video
    52 views

    Rais William Ruto amesema serikali jumuishi imesaidia kumaliza siasa za migawanyiko na kuongeza kasi ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi hapa nchini.Akiongea baada ya kuongoza uzinduzi wa miradi mbali mbali ya ujenzi wa nyumba za bei nafu katika kaunti ya Kisumu,rais alisema yanaonekana wazi matunda ya enzi mpya ya ushirikiano kati ya serikali ya Kenya Kwanza na kinara wa upinzani Raila Odinga.Rais kwa mara nyingine alikariri kujitolea kwa serikali yake kutekeleza kwa usawa maendeleo katika sehemu zote za taifa hili bila miegemeo ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive