4 Jan 2026 7:31 pm | Citizen TV 663 views Duration: 1:13 Rais Ruto amewasuta viongozi wa upinzani kwa kile anachodai ni kueneza ahadi za uongo kwa wakenya bila mipangilio kuhusu ni vipi ambavyo watafanya maendeleo