Rais Ruto ahimiza mataifa duniani kuzingatia matumizi ya teknolojia kama njia ya kuimarisha ustawi

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali duniani zimepewa changamoto kuzingatia matumizi ya teknolojia ya kidijitali kama njia ya kuimarisha ustawi na uwajibikaji. Mwito huu ulitolewa na rais William Ruto wakati wa ufunguzi wa kongamano la mwaka huu la serikali za mataifa mbalimbali ulimwenguni huko Dubai. Rais Ruto pia aliwatahadharisha viongozi dhidi ya kuchelea kuwapa vijana fursa katika nyanja za teknolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive