15 Dec 2025 7:44 pm | Citizen TV 4,310 views Duration: 1:17 Rais William Ruto amemtunuku mwanamazingira Truphena Muthoni tuzo ya pongezi ya rais ya HSC, baada ya kuvunja rekodi ya kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo.