Rais Ruto ampigia debe Raila kama mwafrika mzalendo, na bingwa wa miundo msingi

  • | TV 47
    128 views

    Rais Ruto akutana na marais saba, sita kutoka mataifa yanayozungumza kifaransa.

    Mikutano hiyo ilifanyika Beijing China ambapo kikao cha FOCA kinaendelea.

    Ruto ampigia debe Raila kama mwafrika mzalendo, na bingwa wa miundo msingi.

    Raila anatarajiwa hapo kesho kutoa hotuba mbele ya marais kuhusu miundo msingi barani Afrika.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __