- 211 viewsRais William Ruto amewataka Majaji Kuwa waadilifu na Kufanya maamuzi yao kulingana na sheria za nchi na kuhakikisha kwamba wakati wowote wanafanya yaliyo sahihi licha ya ugumu wa kazi yao. Rais Alikuwa akizungumza katika hafla ya kuapishwa kwa majaji 24 wa mahakama ya juu, majaji 13 wa mahakama ya mazingira na ardhi pamoja na majaji 12 wa Mahakama ya COMESA. Hafla hiyo ilifanyika katika Ikulu ya Nairobi