- 2,417 viewsDuration: 3:09Rais William Ruto ameagiza kuchukuliwa kwa hatua za haraka za kukabiliana na tatizo la vileo na utumiaji mihadarati nchini. Akizungumza baada ya kuongoza mkutano wa mashirika mbalimbali ili kuharakisha hatua za kukabiliana na tatizo hilo kuambatana na maazimio yaliyobainishwa kwneye hotuba yake ya mwaka mpya, rais alsiema kuwa maafisa zaidi wanapelekwa kwenye kitengo cha kukabiliana na mihadarati. Alisema kuwa mfumo ufaao wa kisheria utahitimishwa ili kumarisha ushirikishi na uwajibikaji wa serikali. Rais alisema serikali itatumia mbinu inayojumuisha serikali nzima, ikichanganya kinga, utekelezaji, matibabu, na urejeshaji, ili kuwalinda raia na kulinda usalama wa taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive