3 Apr 2026 1:32 pm | Citizen TV 3,419 views Duration: 2:00 Baadhi ya viongozi wa chama cha UDA kutoka ukanda wa Pwani wamesema watasalia kwenye serikali ya Rais William Ruto kutokana na manufaa ambayo eneo la Pwani linajivunia tangu serikali hiyo kuingia mamlakani.