Rais Ruto apuuza madai ya Raila kuwa mbolea iliongezwa mchanga

  • | K24 Video
    99 views

    Rais William Ruto ametupilia mbali madai ya kinara wa Azimio Raila Odinga kuwa mbolea inayouzwa kwa shilingi elfu mbili mia tano baada ya kupunguzwa bei kutoka shilingi elfu sita ilikuwa msaada kutoka taifa la urusi. Rais Ruto aidha amepuuza madai kuwa mbolea hiyo iliongezwa mchanga ili kuongeza kiwango akitoa hakikisho kuwa ubora wake umeafikia viwango hitajika