- 6,233 viewsDuration: 3:04Rais William Ruto amepuuzilia mbali juhudi za kufufua mrengo wa Azimio la Umoja kwa lengo la kumkabili kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani akisema hazitafua dafu. Akizungumza kwenye mkutano wa kisiasa eneo la Pipeline hapa jijini Nairobi, Rais Ruto ameendelea kutetea ushirikiano wa chama chake cha UDA na ODM akisema ndio njia pekee ya ukombozi wa wakenya.