Rais Ruto apuuzilia mbali tetesi za Raila kuhusu makamishna wa IEBC

  • | Citizen TV
    5,481 views

    Rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua wamepuuzilia mbali tishio la viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya la kuanzisha mikutano ya kisiasa ya kupinga msukumo wa kutaka makamishna wanne wa IEBC kuondolewa afisini. Haya yakijiri huku makamishna wawili wakiongozwa na naibu mwenyekiti wa iebc julianna cherera na irine masit wakitarajiwa kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu haki na sheria inayoskiza kesi hiyo baada ya maombi ya kuwaondoa afisini kuwasilishwa bungeni.