Rais Ruto asema amejumuisha viongozi wa upinzani serikalini ili wamsaidie kuendesha taifa

  • | Citizen TV
    4,606 views

    Rais William Ruto tuko katika kaunti ya embu ambapo ameanzisha miradi tofautia ya maendeleo. Katika ziara hiyo Rais amewaambia wakaazi wa embu na taifa kuwa amejumuisha viongozi wa upinzani serikalini ili wamsaidie katika majukumu ya kuendesha taifa na kukusanya ushuru.