- 352 viewsDuration: 1:34Rais William Ruto anasema anaendelea kuimarisha serikali jumuishi kwa kushauriana na viongozi wa mashinani na waliochaguliwa, ili maamuzi yaakisi mahitaji halisi ya wananchi. Akizungumza katika ikulu ndogo huko Kisii, aliahidi kuharakisha miradi ya maendeleo Kisii na Nyamira kama sehemu ya safari ya Kenya kuelekea katika kiwango cha juu cha uchumi.