Rais Ruto asisitiza kuwa hakuna yeyote atasazwa katika ulipaji wa kodi nchini

  • | K24 Video
    51 views

    Rais William Ruto sasa amesisitiza kuwa hakuna yeyote atasazwa katika ulipaji wa kodi nchini. Ruto amemsuta kinara wa Azimio Raila Odinga kwa semi zake za kutaka IEBC iondolewe na badala yake uchaguzi ufanywe katika kaunti. Ruto amesema haya akihutubia wananchi katika maeneo ya Ruai baada ya kushiriki ibada ya kanisa la Deliverance eneo hilo. Aidha Ruto ameagiza mashirika yote ya serikali yenye kesi mahakamani kuhusu kodi kuondoa kesi hizo na badala yake kufanya mazungumzo na shirika la kutoza ushuru KRA, kuhusu jinsi ya kulipa kodi iliyosalia.