Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atahudhuria ufunguzi wa mnada wa mbuzi wa Kimalel kesho, Baringo

  • | KBC Video
    396 views
    Duration: 1:33
    Rais William Ruto atahudhuria mnada wa mbuzi wa kila mwaka wa Kimalel unaotarajiwa kuanza kesho katika eneo la Baringo Kusini na kuendelea hadi siku ya Jumatatu. Kwenye nnada wa mwaka huu mbuzi watauzwa ana kwa ana na pia mtandaoni kupitia jukwaa la kidijitali lililoundwa na vijana wa eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive